Dunia By Harmonize

ArtistHarmonize
TrackDunia
FormatMP3
Duration3:44
Audio Quality320kbps
AlbumHigh School
GenreAfrobeat, Hip hop
Release Year2022
CountryTanzania
Producer(s)Ihaji MadeIt

Lyrics

Eti mziki shetani, pesa nazo shetani
Mpira na pombe shetani
Mademu na mihadarati, shetaniNaamini Mungu yupo najua
Ndo ananifanya ninapumua
Akitaka hata sasa ananichukua
Ila mi nataka kujuaNi nini dunia
Dunia dunia dunia
Hivi ni nini dunia
Dunia eehMmmh wanaoishi kwa imani
Misikitini makanisani
Uwepo wao hauonekani
Hali zao zipo taabaniHivi ulikuaga wapi before
Hujaja duniani
Na kwanini kunakifo
Unapokwenda hapajulikaniSawa safari ni yetu sote
Na hakuna aliyekwenda na akarudi
Japo kutusimulia
Kama pazuri ama pabayaUwe tajiri ama masikini
Kwa mchanga utarudiMinatoa wosia tusiishi kwa ubaya
Kunakidude kinaitwa mapenzi
Hakijawahi kueleweka
Wakati wewe unalia mwenzako yeye

anachekaHivi ni nini dunia dunia dunia
Ni nini dunia, dunia eeh
Eeh Pedezye Kumbuka
Msalimia mwijakuTuombeane mwisho mwema (eeh eeh yeah)
Tuombeane mwisho mwema (maana hakuna anaejua kesho)
Tuombeane mwisho mwema (kama wewe muislamu)
Tuombeane mwisho mwema (omba kwa dini yako)
Tuombeane mwisho mwema (kama wewe ni mkristo)
Tuombeane mwisho mwema (nisiri nisiri)
Tuombeane mwisho mwema (tuombeane nisiri)
H

Explore Other Trendy Hit Songs:

Promote Your Song Worldwide

spot_img

Recommended For You