Naogopa By Marioo Ft Harmonize

ArtistMarioo
FeaturingHarmonize
TrackNaogopa
FormatMP3
Duration4:00
Audio Quality320kbps
AlbumNaogopa
GenreAfrobeat, Hip hop
Release Year2022
CountryTanzania
Producer(s)Marioo, Abbah

Lyrics

VERSE 1

Kwetu si tunasherehe, mapenzi
Sio makasiriko ahaaaa
Kwetu ni fuhara tele, maana mapenzi
Sio makasiriko mmmmhh


Hata kama tukishindia tembele, ooh my love
Baba mwenye nyumba kodi apige kelele, ooh my love
Hata kama tunapanda dala dala nawe my love
Et chetu chumba kina mavyombo tele inahusu


Wala sidhani kama hunipendi
Ila nawaza usipokuwepo ntaishije eeh
Mwenzako najua kamaa unanipenda umeniweka moyoni
Ila nawaza usipokuwep ntaishije ndo ninaogopa
Aah aah aaaahh naogopa
Aah aah aaaahh naogopa
Aah aah aaaahh naogopa
Aah aah aaaahh naogopa
Aah aah aaaahh naogopa

VERSE 2

Hivi hushangai napendwa ila sura bado inakosa nuru
Yani najiona sipo huru napagawaa
Siku zinavyozidi kwenda
Najiona kabisa ntakufuru, maana naishi ka kunguru
Kutwa kujificha mbawaa


Ridhiki yangu a papatu papatu
Mara ilipe vikoba upatu
Vipi ukija kutamani vya watu mimi si utaniacha
Ukiachilia mbali mashindano wanaonizidi pesa muonekano
Si lazima nikutajie mifano, niahidi kama utayaweza mapambano
Icho ndo kinanipa mawaza nikipost biashara matangazo
Sintaweza kukuchunga mbele za wenye mipunga
Mmh mmmh mmmh baby

BRIDGE
Abeee
What can I do?
Baby, I’ll never let you fo and I want you more
Oh wooh wooh wooh baby
Abeee
What can I do?
Baby, I’ll never let you go and I want you more!

CHORUS

Mwenzakoo aaah
Aah aah aaaahh naogopa
Kweli mwenzako naogopa
Basi kiota changu ongeza choyo
Aah aah aaaahh
Maana wasije nichoma mkuki wa moyo
Aah aah aaaahh naogopa
Na na na na hi

Konde boy call me number one bahkresa
Aah aah aaaahh naogopa

Other Trendy Songs:

Promote Your Song Worldwide

spot_img

Recommended For You