Unachezaje By Diamond Platnumz

ArtistDiamond Platnumz
TrackUnachezaje
FormatMP3
Duration2:41
Audio Quality320kbps
AlbumUnachezaje
GenreHip hopAfrobeat
Release Year2021
CountryTanzania
Producer(s)S2Kizzy, Lizer Classic
Unachezaje By Diamond Platnumz

Lyrics

Mkunoni kai (mati)
Nasikia kuna kiki (wapi)
Niije kujimwaga (kati)
Oooh haitoshi, kalitaka
Simba la baba kaletewa
Oooh my gosh, sasa
Kazima anataka kubebewa
Oooh haitoshi, kalitaka
Simba la baba kaletewa
Oooh my gosh, sasa

Kazima anataka kubebewa
Nionyeshe unachezaje, unachezaje unachezaje
Kwani unachezaje, unachezaje
Unachezaje
Nionyeshe unachezaje, unachezaje unachezaje
Kwani unachezaje, unachezaje
Unachezaje
Ilikuwa mbili 4 4, pale pale (pale, pale)
Dawa ya show show
Nahisi lale (nahisi lale)
Peleka vuta, taratibu sio kwa pupa
Dereva shusha hapo, mbele
Kwenye kuta
Huu ni mti gani (wa Mchongoma)
Ukiukata (haukatiki)
Si ni mti gani (wa Mchongoma)
Wakitukata (hatukatiki)

Sasa waonyeshe unachezaje, unachezaje unachezaje
Kwani unachezaje, unachezaje u
Nachezaje
Nionyeshe unachezaje, unachezaje unachezaje
Kwani unachezaje, unachezaje
Unacheza
Popolipolipopopopopolipolipola
Popolipolipopopopopolipolipola
Popolipolipopopopopolipolipola
Waambie chombo (kinapepea)
Eeh chombo (kinapepea)
Huwaga chombo (kinapepea)
Aah weeh
Acha
Aah weeh
Huo mnazi (unakatika)
Mnazi (unakatika)
Mama mnazi (unakatika)
Ona mnazi (unakatika)
Ukitaka kukatika (hukatika)
Kati kati (kati kah)

Huo mjumba (unabomoka)
Mjumba (unabomoka)
Mama mjumba (unabomoka)
Ona mjumba (unabomoka)
Ukitaka kubomoka (hubomoka)
Bobo bobo bobo bobo bobo boh
(Kamix lizer)

Promote Your Song Worldwide

spot_img

Recommended For You